MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Uamsho wa zamani na uamsho wa sasa…
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 27 – 36. Kabla ya karne ya 14, dunia ilikuwa imedumaa. Hakuna maendeleo au mabadiliko makubwa yaliyokuwa yakitokea. Mambo yalikuwa ni yale yale, vita vya ukabila na udini. Watu hawakuwa na uhuru wa kufikiri watakavyo. Badala yake