MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA ANAYEKUUMIZA, UNAJIUMIZA….
Reject your sense of injury and the injury itself disappears. – Marcus Aurelius NI siku nyingine nzuri sana rafiki yangu, siku mpya ya sisi kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio, ambao unatuwezesha kuwa na maisha bora ni NIDHAMU, UADILIFU NA