MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1038; Upande Wa Pili Wa Shilingi…
Kama ilivyo kwamba shilingi ina pande mbili, ndivyo kila kitu kwenye maisha kilivyo. Kuna pande mbili za kila kitu tunachofanya au kupitia kwenye maisha. Na wakati mwingine pande hizo zinaweza kuwa zaidi ya mbili. Ni tabia yetu sisi binadamu kuangalia au kuegemea upande mmoja pekee. Tunapenda kuangalia ule upande ambao