MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Nguvu Ya Udadisi Katika Kujifunza.
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 47 – 56. Kitu kikubwa ambacho kilimwezesha Leonardo da Vinci kufanya makubwa kwenye maisha yake ni udadisi. Tangu akiwa mdogo alikuwa akihoji mambo mbalimbali. Kila alichokiona alihoji na kutaka kujua zaidi. Hilo lilimpelekea yeye kujifunza na kusoma