BIASHARA LEO; Anza Na Wazo Na Hatua Ya Kuchukua.

By | November 6, 2017
Kila mtu anayetaka kuingia kwenye biashara, huwaangalia wafanyabiashara wakubwa ambao wamepata mafanikio makubwa kibiashara. Watu wanapowaangalia wafanyabiashara hawa, huwa wanakwama kuanza kwa sababu hawaoni ni namna gani wanavyoweza kuanzisha biashara inayoweza kuwa kubwa kama za wale wanaowaangalia. Wengi husubiri mpaka wapate wazo ambalo ni kubwa na linaloweza kuzalisha biashara kubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz