MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Jifunze kutokana na Uzoefu unaopitia.
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA 67 – 76. Moja ya misingi ambayo ilimwezesha Leonardo kufanya makubwa ni kuwa tayari kujifunza kupitia uzoefu anbao alikuwa anapitia. Leonardo aliishi kipindi ambacho watu walikuwa wanaamini hakuna elimu mpya, kila kitu kimeshajulikana. Hivyo hakuna aliyehoji wala