MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Chunguza Vyanzo Vya Mawazo Na Imani Ulizonazo.
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 77 – 86 Kila mtu pale alipo, ana fikra ambazo zinatawala akili yake na pia zinatengeneza imani yake. Kile unachoamini sasa hakikutoka tu hewani, bali kiliingia kwa njia mbalimbali. Vipo vyanzo vikuu vitatu ya taarifa na maarifa