MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Kubali Hali Ya Kutokuwa Na Uhakika…
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 104 – 113. Tunaishi kwenye zama ambazo watu wanapenda kuwa na uhakika wa kile wanachofanya. Lakini hili halikuwa hivyo wakati wa Leonardo da Vinci. Katika kipindi hicho, ilikuwa ni muhimu kuweza kuvumilia hali ya kutokuwa na uhakika.