MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Mawazo Mazuri Yanakuja Ukiwa Umepumzika….
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 114 – 123. Moja ya vitu vilivyomwezesha Leornado kuwa na umaarufu mkubwa ni mawazo bora kabisa aliyokuwa anakuja nayo. Mengi yalikuwa ni mawazo ambayo alikuwa akiyapata akiwa amepumzika au akiwa anafanya kitu ambacho hakimchoshi au kuumiza akili.