MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1048; Fikiri, Kuwa, Zalisha…
Watu wengi wanaotaka kubadili maisha yao na wafanikiwe huwa wanashindwa, kila hatua wanazochukua hawapati matokeo ambayo walikuwa wanatarajia. Mwishowe wanaona kama wao hawawezi na hivyo kukata tamaa. Kinachowasababisha washindwe kupata matokeo wanayotaka, ni kwa sababu mabadiliko wanayoyafanya kwenye maisha yao siyo sahihi. Wengi wamekuwa wanajaribu kubadili nje wakati ndani kupo