MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ubongo Wa Kulia Na Ubongo Wa Kushoto.
KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 134 – 143. Ubongo wa binadamu umegawanyika kwenye sehemu mbili, ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto. Ubongo wa kulia unahusika zaidi na mambo ya ubunifu na sanaa. Ubongo wa kushoto unahusika zaidi na fikra na taratibu