MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNAJITESA ZAIDI YA UNAVYOTESWA…
We are more often frightened than hurt; and we suffer more from imagination than from reality. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Nafasi hii ya kipekee tuliyoipata leo, tunapaswa kuitumia vyema ili tuweze kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha