MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1053; Kadiri Uimara Unavyokuwa Mkubwa, Ndivyo Udhaifu Unakuwa Mkubwa Pia….
Ukiona sehemu kuna mlima mkali, jua pia utakutana na bonde kubwa katika eneo hilo. Na kadiri mlima unavyokuwa mrefu, ndivyo bonde pia linavyozidi kuwa kubwa. Hivi ndivyo dunia ilivyo, ndivyo sheria ya asili inafanya mambo yaende. Hii pia ipo kwa watu, kadiri mtu anavyokuwa imara, ndivyo pia anavyokuwa dhaifu. Hii