MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1058; Kuongeza Muda, Punguza Vipaumbele…
Muda ndiyo kitu pekee ambacho tunacho kwa uhaba na ukomo wa hali ya juu sana. ni kitu tunachohitaji sana, lakini hakuna namna ya kukiongeza. Ni masaa 24 ya siku, siku saba za wiki na wiki 52 za mwaka, hakuna zaidi ya hapo. Lakini kuna nyakati kwenye maisha yetu, ambapo tunahitaji