MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1063; Siku Moja Si Kitu, Lakini Miaka Kumi Ina Kitu Kikubwa….
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba tabia ni kama uzi mwembamba, ambao unajisokotea kidogo kidogo kila siku. Ni rahisi kukata uzi huo unapokuwa umejisokotea kidogo, lakini kadiri unavyozidi kusokota, ndivyo inavyokuwa vigumu kuukata. Katika kujenga tabia na hata kwenye hatua tunazopiga au kuacha kupiga, siku moja inaweza kuonekana kama siyo kitu.