MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA JIONI; ISHI WAKATI UNAWEZA…
Habari za jioni ya leo rafiki yangu? Ni imani yangu kwamba umekuwa na siku bora sana leo. Ni matumaini yangu siku ya leo umeweza kupiga hatua na pia kujifunza zaidi kupitia yale uliyoweza kukutana nayo. Na sina shaka kwamba leo umeishi msingi wetu wa maisha ya mafanikio ambao ni NIDHAMU,