MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NDANI YA UWEZO WAKO NA NJE YA UWEZO WAKO…
Make the best use of what is in your power, and take the rest as it happens. – Epictetus Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii muhimu sana ya leo. Hii ni siku mpya na ya kipekee sana kwetu ambapo tunakwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza