MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1083; Saa Moja Takatifu Ya Maisha Yako…
Usipokuwa makini utashangaa siku inaanza na kuisha huku hujapata nafasi ya kufanya lolote muhimu ulilotaka kufanya. Unaweza kuwa na mipango mizuri sana ya siku yako, lakini siku ikaanza na kuisha na usione muda wa kufanya yale muhimu uliyopanga. Hii yote inayokana na namna mambo ya kufanya yanavyozidi kuwa mengi huku