UKURASA WA 1084; Tiba Kamili Ya Hofu Ya Kukataliwa…

By | December 19, 2017
Watu wengi wamekuwa wakijinyima vitu wao wenyewe. Unakuta mtu kuna kitu anataka kutoka kwa mtu mwingine, lakini anajiambia hawezi kunipa, au hatakubali, halafu anaishia hapo. Ukiangalia hapo, unachoona ni kwamba mtu amechagua kujinyima yeye mwenyewe. Hajamuuliza mtu yule kitu, lakini amekuja na majibu kwamba atakataa au hatokubali. Kuna kitu kinawafanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz