MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1085; Kuwa Tofauti Kuwa Bora Zaidi, Na Siyo Kuwa Tu Tofauti…
Ukweli ni kwamba, moja ya njia rahisi za kukubali kushindwa, ni kufanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa namna ambavyo kila mtu anafanya. Hili halikutofautishi kwa namna yoyote ile, badala yake linakuletea msongo, kwa sababu unakuwa katikati ya kelele za wengi. Hivyo ni muhimu kuwa tofauti kama unataka kujitengenezea kitu