MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1086; Kazi Na Biashara Ambayo Itaendelea Kulipa Zaidi Na Zaidi…
Changamoto kubwa ya zama hizi ni kwamba karibu kila kazi ina watu wengi wanaoweza kuifanya kuliko wanaohitajika, hivyo malipo yanakuwa madogo kwa sababu ukikataa kufanya, wapo wengi ambao wapo tayari kufanya kwa malipo kidogo. Kwenye biashara pia, hali ni hiyo hiyo, karibu kila biashara inafanywa na kila mtu, na watu