UKURASA WA 1090; Kabla Ya Kuzalisha, Maandalizi Yanahitajika…

By | December 25, 2017
Hakuna kitu ambacho huwa kinanishangaza kama uharaka wa watu kutaka mafanikio bila ya kuwa na subira. Watu hufikiri kwamba kwa sababu wameshajua nini wanataka, kwa sababu wameshaweka malengo, kwa sababu wameshakuwa chanya na wanaweka juhudi, basi wanapaswa kupata matokeo hapo hapo. Lakini hebu tuiangalie asili katika uzalishaji. Hakuna kiumbe ambacho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz