MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1117; Watu Hawa Walikuja Baada Ya Ndoto Zako…
Ni jambo la kushangaza namna gani watu wapo tayari kuacha ndoto zao kwa sababu ya maoni au mtazamo wa watu wengine. Au mtu anaacha kufanyia kazi ndoto zake kubwa alizokuwa nazo, kwa sababu ya watu ambao wanamhitaji afanyie kazi vitu vingine. Cha kushangaza ni kwamba, watu wengi ambao watu wanawakubalia