UKURASA WA 1121; Rafiki Mzuri Na Mwalimu Mzuri…

By | January 25, 2018
Rafiki mzuri ni yule ambaye anakuambia ukweli kama ulivyo, yule ambaye hafanyi kitu ili kukufurahisha au kukuridhisha, bali anafanya kile sahihi kufanya. Kadhalika mwalimu mzuri ni yule ambaye anafundisha kile ambacho ni kweli hata kama kinaumiza au hakifurahishi. Anafundisha kama kilivyo na mwanafunzi anachagua kuchukua hatua kulingana na alichojifunza. Sifa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz