MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1124; Hapo Unawapa Watu Nafasi Ya Kukutawala…
Kuna kutawaliwa kwa nguvu, halafu kuna kutawaliwa kwa hisia. Kutawaliwa kwa nguvu au mabavu kunaweza kuumiza, lakini kunafanyika na mtu mwingine, hivyo angalau unaweza kuwa na mtu wa kumlaumu na hata kupambana kupata uhuru wako. Lakini kutawaliwa kwa hisia, kunaumiza zaidi, ila ubaya ni kwamba, unakuwa umejiweka wewe mwenyewe kwenye