UKURASA WA 1125; Kama Ni Kazi, Tayari Imeshakushinda…

By | January 29, 2018
Tunapokutana na kitu kigumu kwenye maisha, tunasema ni kazi kweli kweli. Hii inaonesha ni kwa namna gani tunaitafsiri kazi kwenye akili zetu, kwamba ni kitu chochote ambacho ni kigumu na ambacho hatupo tayari. Sasa kama chochote unachofanya kwenye maisha yako kinakuwa kazi, unakuwa umeshashindwa kabla hata hujaanza. Ukiangalia watu wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz