UKURASA WA 1126; Upendo Na Wema…

By | January 30, 2018
Ukisikie neno Msamaria mwema unapata picha gani? Kwa wengi ni mtu ambaye anajitoa kuhakikisha maisha ya wengine yanakuwa bora zaidi, hata kama hakuna anachonufaika nacho moja kwa moja kwa kufanya hivyo. Sasa zipo zawadi kuu mbili ambazo kila mmoja wetu anazo, lakini namna tunavyozitumia tunatofautiana. Zawadi ya kwanza ni upendo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz