UKURASA WA 1127; Unaanza Na Mtu Mmoja…

By | January 31, 2018
Kuanza jambo lolote jipya, huwa ni kugumu. Hii ni kwa sababu wengi huwa tunafikiria makubwa. Kwamba mtu anapotaka kuanza kitu, anawaangalia wale ambao tayari wameshafanya kwa muda mrefu na kufika juu kabisa. Kwa mfano kama unataka kuanza biashara, halafu unaowaangalia ni wakina Mengi au Bakhresa, utaona kwamba wako mbali sana,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz