MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1128; Kuepuka Kukosolewa…
Meli inakuwa salama sana inapokuwa imetia nanga bandarini, ndege inakuwa salama kabisa ikiwa imetua kwenye uwanja wa ndege. Ni mpaka pale meli inapotoa nanga na kuanza kuelea, au ndege inaondoka uwanjani na kuanza kupaa ndipo hatari zinaweza kujitokeza. Kwa meli kukubwa na dhoruba na kuzama au ndege kukutana na hali