MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1130; Njia Mbili Za Kuondokana Na Msongo Wa Mawazo…
Kuna mambo ambayo tunakuwa tumepanga au kupangiwa kufanya, lakini kutokana na changamoto mbalimbali, tunashindwa kuyafanya. Haya hutuletea msongo wa mawazo na kutuzuia hata kufanya mambo mengine kwa utulivu na amani ya moyo. Watu wengi wamekuwa wakishindwa kufanya makubwa kutokana na msongo walionao kwa yale waliyoshindwa kufanya au waliyofanya na wakashindwa.