MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUNA WAKATI KUISHI NI TENDO LA KISHUJAA…
Sometimes even to live is an act of courage. – Lucius Annaeus Seneca Hongera rafiki kwa siku hii nzuri na ya kipekee wana kwetu. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwa msingi wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Pia kwa mwongozo wa TATUA, AMUA NA ONGOZA tutaweza kufanya