MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HAUPO HURU…
No man is free who is not master of himself – Epictetus Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri kwetu. Ni siku mpya ya juma jipya ambapo tumepata nafasi ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ndiyo msingi wetu mkuu wa mafanikio.