MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JIJUE KISHA JITUMIE…
Know, first, who you are, and then adorn yourself accordingly. – Epictetus Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa nafasi hii nzuri sana ya leo. Ni fursa ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa msingi NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda