MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1136; Wakati Sahihi Wa Kupambana Na Kudai Kilicho Chako…
Kuna wakati kwenye maisha watu watakuonea, ni mara nyingi na inaweza kutokea kwenye maeneo mbalimbali ya maisha yako. Lakini huwezi kupambana na kila anayekuonea kila wakati. Kuna wakati kwenye maisha, watu watachukua sifa kwenye kazi ambayo umeifanya wewe. Unakuwa umekazana kweli na kazi hiyo, umeweka nguvu, muda na ujuzi wako,