MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1137; Usikodishe Utu Wako Kwa Wengine…
Kwenye zama hizi za taarifa, ambapo mitandao ya kijamii imekuwa na nguvu kubwa kwenye maisha yetu, kitu kinachoumia sana kwenye maisha ya wengi ni utu, ile hali ya kujithamini kama mtu, ambayo inaanzia ndani ya mtu mwenyewe. Hali hii inaumia kwa sababu watu hawawezi tena kujithamini wenyewe, bali kusubiri mpaka