MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1139; Faida Ya Kuchukua Hatari Kwenye Maeneo Madogo Ya Maisha Yako…
Kama kuna mambo makubwa ambayo unataka kufanya kwenye maisha yako, ambayo yanakutaka uchukue hatari kubwa, na hilo linakupa hofu, basi njia mbadala ni kuchukua hatari ndogo ndogo kwenye maisha yako. Sisi binadamu ni viumbe wa mazoea, huwa tunafanya zaidi kile tulichozoea kufanya kuliko ambacho hatujazoea. Hivyo unapojifunza kuchukua hatari ndogo