MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1140; Dhana Yako Ya Ubaya Na Uzuri Siyo Sahihi…
Kuna maeneo ya maisha yetu, ambayo tunajijua hatupo vizuri, lakini sasa si kweli kwamba hatupo vizuri kama tunavyofikiri. Kadhalika yapo maeneo ya maisha yetu ambayo tunajijua tupo vizuri, lakini na hapo pia hatupo vizuri kama tunavyofikiri. Kinachotokea ni kwamba huwa tunajiumiza sana kwa yale maeneo ambayo tunafikiri hatupo vizuri wakati