MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1141; Hofu Ya Fedha Ni Upotevu Wa Muda…
Leo nakuambia kitu ambacho kinaweza kukuumiza, lakini ukweli lazima usemwe kama ulivyo. Ni mazoea kwetu kuwa na hofu juu ya fedha, hasa pale ambapo tunakuwa hatuna uhakika na kipato chetu, hatutajijengea uhuru wa kifedha na hatujui kesho itakuwaje. Labda huna kazi maalumu na hivyo hujui kwa hakika kipato chako cha