MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FURAHA HAINA KANUNI…
Happiness is a good flow of life – Zeno of Citium Hongera rafiki kwa siku hii bora na ya kipekee sana kwetu. Ni siku mpya ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Ni kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo