MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1144; Kuwa Makini Sana Na Mazingira Yanayokuzunguka….
Mazingira yanayotuzunguka, yana nguvu kubwa sana ya kutufanya vile tulivyo sisi. Japo wengi huwa hatulioni hili, na huwa tunafikiri kwamba tuna nguvu ya kuyashinda mazingira yetu. Ukweli ni kwamba hatuna nguvu hiyo. Mazingira ninayozungumzia hapa ni kila kinachokuzunguka, kuanzia watu, vitu na hata hali mbalimbali zinazokuzunguka. Kwa mfano kama unazungukwa