MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1149; Jua Nguvu Zako Kisha Zitumie Vizuri…
Tunapopanga kuongeza ufanisi na uzalishaji, huwa tunaangalia muda. Tunaangalia ni muda kiasi gani tunao, kisha tunaupangilia na kuusimamia vizuri. Lakini licha ya kupangilia na kusimamia muda vizuri, kuna wakati tunashindwa kufanya yale tuliyopanga, licha ya kuwa na muda wa kutosha. Kwa mfano kama lipo jukumu gumu kufanya, ambalo linahitaji utulivu