MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1153; Una Mpango Wa Kucheza Kwa Muda Mrefu Kiasi Gani?
Kama maisha ni mchezo, basi kuna jambo muhimu sana unalopaswa kulijua kabla ya kuingia kwenye mchezo huu. Na jambo hilo ni una mpango wa kucheza kwa muda mrefu kiasi gani? Hili ni muhimu kwa sababu, usipokuwa makini kwenye muda, utajikuta unafupisha mchezo wako mwenyewe. Kwa mfano kwenye mchezo wa riadha,