MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1155; Dawa Nzuri Kwa Wale Wanaokukatisha Tamaa…
Ukitaka usisumbuane na watu, wewe fanya mambo ya kawaida kabisa. Usipange kufanya makubwa na wala usijisumbue kupiga hatua kubwa. Hapo utakuwa na marafiki wengi, lakini wote ni wale ambao hakuna hatua kubwa wanayopiga kwenye maisha yao. Lakini pale utakapoanza kupanga kupiga hatua kubwa, pale utakapoanza kufanya makubwa, jua utaamsha kila