MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UKIFIKA KIWANGO HICHI, ELIMU YAKO IMEKAMILIKA…
“To accuse others for one’s own misfortunes is a sign of want of education. To accuse oneself shows that one’s education has begun. To accuse neither oneself nor others shows that one’s education is complete” – Epictetus Hongera mwanamafanikio kwa siku hii bora sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu