MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1209; Sharti La Kwanza La Unachotaka Kubadili…
Watu wengi huwa wanapenda kubadili vitu mbalimbali kwenye maisha yao, lakini wanashindwa. Wanataka kuibadili dunia, lakini kila wanachojaribu kinawashinda. Wanataka kuwabadili wengine, lakini kila juhudi wanazotumia zinashindwa. Wanataka kuibadili dunia lakini hawajui hata waanzie wapi. Lipo sharti la kwanza muhimu sana unalopaswa kuzingatia kwenye chochote unachotaka kubadili. Sharti hilo ni