MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1210; Ushauri Wa Kujitolea…
Kitu rahisi kabisa kufanya duniani, ni kutoa ushauri, kila mtu anaweza kufanya, hata mtoto wa miaka mitano anaweza kushauri. Na ndiyo maana, kila mtu huwa ana ushauri wa kutoa kwenye jambo lolote lile, hata kama siyo mtaalamu na hana uzoefu. Watu watatoa hata ushauri waliosikia wengine wanatoa. Sasa katika ushauri,