MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1211; Julikana Umesimama Upande Upi…
Moja ya vitu vinavyowazuia watu kufanikiwa, ni kutokujulikana wamesimama upande upi kwenye kila jambo wanalojihusisha nalo kwenye maisha. Wengi huwa wanaonekana kukaa kati kati, wasijulikane kama ni moto au baridi, nyeusi au nyeupe. Wengi hufikiri kwa kutokuwa na upande, basi hawatamkasirisha yeyote, hawatakosolewa na yeyote na hivyo maisha yao hayatakuwa