MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1212; Njia Tatu Zinazojitokeza Mbele Yako Baada Ya Kutoka Kwenye Umasikini…
Kuna njia tatu za kuondoka kwenye umasikini, Njia ya kwanza, mtu ni masikini, anaweka juhudi anapata fedha za kumtoa kwenye umasikini, lakini haichukui muda anarudi tena kwenye umasikini. Na njia hii hutumiwa zaidi na wale ambao wanapata fedha za haraka, ambazo hawajaweka juhudi kubwa, mfano kushinda bahati nasibu au kurithi