MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1213; Zingatia Vitu Hivi Viwili Na Mara Zote Utakuwa Mbele Ya Wengine…
Ushindani ni mkali sana zama hizi, chochote unachofanya, wapo wengine ambao wanakifanya pia. Na hata ukiamua kuwa mbunifu na ukaanzisha kitu chako mwenyewe, watu wakishaona kinafanya kazi watakuiga, huna njia ya kujimilikisha chochote unachofanya, hata kama umekibuni mwenyewe. Hivyo ili kuepuka ushindani na wale ambao wanafanya kile unachofanya, vipo vitu