MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1214; Mipango Isiyo Ya Kawaida, Isiyowezekana Kwa Uhalisia…
Uhalisia ni kifo cha mafanikio, pale unapopanga kitu na kuanza kujiuliza kama kinaendana na uhalisia au la, ndiyo mwisho wako wa kwenda mbali zaidi. Huwa tunapenda kuweka mipango ya kawaida, mipango inayoendana na kile tulichozoea, mipango inayowezekana na inayoendana na uhalisia. Mtu mmoja amewahi kusema, watu wa kawaida huwa wanaenda